Siku Mbili Baada Ya John Depp Kufiwa Na Maza Wake, Mkewe Nae Akaomba Talaka, Walioana February 2015, Hawana Mtoto Pamoja Ila Heard Kaomba Financila Support Kama Moja Ya Kipengele Cha Talaka Hiyo.
Wanandoa Hao Walikutana Kwenye Movie Maarufu ya ‘The Rum Diary’ Mwaka 2011. John Depp Alijizolea Umaarufu Hasa Kwenye Movie Ya Pirates Of Carribean Island
0 comments:
Post a Comment