Katika Show Hiyo Aliambatana Na Maino Na Uncle Murda Na kabla T.I hajapanda kwenye stage, ilisikika milio ya risasi Ukumbini Hapo. Taarifa Toka Polisi Inasema Mtu Mmoja Amefariki Na Wengine Wawili Wame Jeruhiwa Mpaka sasa Polisi Hawaja Mkamata Yeyote
Arrest Update - Roland Collins Aka Troy Ave, 33 Amekamatwa Kwa Kosa La Kujaribu Mauaji Na Matumizi Mabaya Ya Silaha.
Video Inayo onyesha Rapper Troy Ave Akiingia Kwenye Club Na Kuanza Kurusha Risasi Na Kujipiga Mwenyewe Mguuni.
0 comments:
Post a Comment