Stephen Amell 'Oliver Queen' Amefunguka Juu Ya Ujio Mpya Wa Series Ya Arrow. Katika Mahojiano Yake Na EW, Stephen Ameongelea Muingiliano Wa Wahusika Tofauti Kutoka Series Ya Flash, Legends Of Tommorow Na Supergirl Na Kusema Angependa Arrow Irudi Kama Ilivyokuwa Mwanzo. Nanukuu,
"Tulipoanza Kutengeneza Arrow Ilikuwa Ni Superpower Show Na Sio Superhero Show Kama Ilivyo Sasa. Baada Ya Mafanikio Makubwa Kama Superpower Show Na Kutokana Na Fursa Tulizokuwa Nazo CW Tuliona Ni Vyema Kutambulisha Show Mpya Kama Flash, Supergirl Na Legends Of Tommorow. Ila Kwa Sasa Ningependa Turudi Kwenye Misingi Halisi Ya Arrow Ambayo Ni Hand-To-Hand Combat Na Sio Superhero Show.
Je! Unafurahia Huu Muingiliano Wa Series Za Supergirl, Arrow, The Flash Na Legends Of Tomorrow?
Dondosha Maoni Yako Hapo Chini
0 comments:
Post a Comment