Celebrity

The Game Bado Anamlilia Prince


Kama Bado Unafikiri Wewe Uliguswa Na Kifo Cha Mwanamuziki Prince Basi Bado Hujamzidi The Game.

Baada Ya Kutoa Nyimbo Ya Kumkumbuka Legend Huyo Wa Muziki Iliyokwenda Kwa Jina La Rest In Purple (Prince Tribute), The Game Ameendelea Kuonesha Kuwa Bado Anaguswa Na Kifo Cha Mwanamziki Huyo Hasa Baada Ya Kununua Mchoro Wa Picha Ya Prince Unakadiliwa Kufikia Dollar 65,000 Ambayo Ni Zaidi Ya Shilingi Za Kitanzania 130 Milioni.

Tazama Picha Yenyewe Hapa
A photo posted by MARK PAUL DEREN (@madsteez) on

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.