Celebrity

Bill Cosby Akubali Kufanya Mapenzi Na Mabinti Wadogo

 

Star Wa Vichekesho Kutoka Hollywood Akubali Kuwa Alikuwa Anafanya Mapenzi Na Mabinti Wadogo.

Star Huyo Amekiri Kufanya Hivyo Na Akaenda Mbali Zaidi Na Kusema Kulikuwa NA Mtu Maalumu Aliyekuwa Anamletea Vigori Hao Kwa Ajili Ya Kujiridhisha Kingono.


Taarifa Zinasema Kuwa Cosby Alikuwa Analetewa Mabinti 5 Mpaka 6 Kwa Wiki Wakati Anashoot Kipindi Chake Na Amekiri Kufanya Mapenzi Na Mmoja Kati Yao Ambaye Anakadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miaka 17.

Bado Shauri Ya Kesi Hiyo Lipo Mahakamani Na Kama Cosby Atakutwa Na Hatia Basi Kuna Uwezekano Wa Kufungwa Miaka 10 Jela.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.