Sports

Ronaldo Aipa Real Madrid Ubingwa Wa Ulaya


Klabu Tajiri Kuliko Zote Duniani, Imethibitisha Umwamba Wake Hasa Baada Ya Kutwaa Taji La Kabu Bingwa Barani Ulaya Kwa Mara Ya 11 Sasa.

Real Madrid Wametwaa Ubngwa Huo Mbele Ya Wapinzani Wao Wakuu Kutoka Jiji Hilo Hilo La Madrid Klabu Ya Atletico Madrid.


Real Wamefanikiwa Kuwafunga Atletio Kwa Mikwaju Ya Penati 5 - 3 Walizopata Atletico Huku Cristiano Ronald Akifunga Penati Ya Mwisho Iliyoipa Madrid Kombe La Klabu Bingwa Ulaya Kwa Mara Ya 11.


Miamba Hiyo Ya Madrid Ilitoshana Nguvu Ya Bao Moja Kwa Moja Ndani Ya Dakika 90 Ambapo Magoli Yalifungwa Na Sergio Ramos dakika 15 Kwa Real Madrid Na Upande Wa Atletico Goli lilifungwa Dakika Ya 79 Na Ferraira Carrasco.

Pongezi Kutoka Kwa Ancelotti
Wanasemaje Wadau

Tazama Mechi Hiyo Ilivyokuwa Hapa



Kombe Lilipokelewa Kwa Furaha Hii

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.