Habari Zilizotufikia Zinasema Kuwa Mwanamuziki Na Mume Wa Kim Kardashian, Kanye West Ameibiwa Vifaa Ndani Ya Studio Yake Vyenye Thamani Ya $20,000 Zaidi Ya 40 Milioni Kwa Fedha Za Kitanzania.
Tukio Hilo Limetokea Katika Studio Hiyo Ya Kanye West Ipo Calabasas Jiji La California Tarehe 23 May Kuripotiwa Polisi Siku Iliyofuata.
Wakati Tukio Hilo Linatokea Kanye West Inasemekana Alikuwa Jijini London. Kanye Mwenyewe Anaamini Wezi Wa Vifaa Hivyo Ni Watu Wa Karibu Na Watu Wanaoijua Studio Hiyo Vizuri.
Mpaka Sasa Hakuna Aliyekama Kutokana Na Tukio Hilo

0 comments:
Post a Comment