Celebrity

MUONEKANO MPYA WA DRAKE WAZUA BALAA TWTTIER

Katika Hali Isiyo Ya Kawaida Katika Mtandao Wa Twitter, Mashabiki Walalamika Drake Kunyoa Ndevu Zake. Picha Moja ilipostiwa Katika Mtando Huo Ikimuonesha Drake Hana Ndevu na Pia Ilikuwa Maalumu Kwa Kipindi Kinachorushwa na NBC Cha Saturday Night Live.

Picha hiyo Ilikaa Kwa Muda Mfupi Twitter Na Kupata like 54,000 Kabla Haijaondolewa. Hebu Soma Comment Hapo Kuona Namna Mashabiki Ambavyo Hawakupendezwa Na Muonekano Mpya Wa Drake

Picha Aliyopost Ikionesha Amenyoa Ndevu.

























































Baada ya Picha Hii Hebu Cheki Mashabiki Walivyopokea Muonekano Huo








About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.