Suarez Kwa Magoli Hayo Amefanikiwa Kujinyakulia Kiatu Cha Ufungaji Bora Maarufu Kama Pichichi, Akimshinda Mpinzani Wake Wa Karibu Cristiano Ronaldo Aliyefunga Magoli 35 Katika Mechi 36 za Ligi Msimu Huu.
Katika Mchezo Mwingine Ulizikutanisha Real Madrid Waliokuwa Ugenini Kuwavaa Deportivo La Coruna. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Madrid Kuibuka KIdedea Kwa Magoli Mawili Yaliyofungwa Na Cristiano Ronaldo.
Nao Atletico Madrid Wameibuka Na Ushindi Wa Goli 2 Dhidi ya Celta Vigo Ambao Hawakupata Kitu. Magoli Ya Atletico Madrid Yalifungwa na Tores Pamoja Na Griezman.
Kama Hukufanikiwa Kutazama Mechi Hizi Tumekuwekea Magoli Hapa
Granada 0 - 3 Barcelona
Deportivo 0 - Real Madrid
Atletico Madrid 2 - 0 Celta Vigo
0 comments:
Post a Comment