Maonyesho ya 69 Ya Kimataifa ya Filamu yameanza tarehe 11/5/2016 Mpaka 22/5/2016. Mastaa Wote Wamekusanyika Katika Eneo Moja Tu Huko Kusini Mwa Ufaransa.
Kwenye Red Carpet Tumekuwekea Hapa Kuona Namna Mastaa Hao Walivyotokelezea Katika Mavazi Tofauti.
|
Aishwarya Rai Bachchan |
Aishwarya Rai Mkali Wa Filamu Kutoka India Na Yeye Amenoga Kichizi, Huu ukiwa ni Mwaka Wake Wa 15 Akiiwakilisha India Katika Tamasha Hilo Kubwa Duniani. Mara ya Kwanza Ilikuwa 2002
Mwigizaji Kutoka Marekani George Clooney na Mkewe Amal Clooney Wakiwasili Ukumbuni Tayari Kwa kubadilishana Mawazo Na Mastaa Wengine
|
Lily Donaldson Kwenye Muonekano Bora Kabisa |
|
Posh, Mrs Beckham Yes, Victoria Beckam Nayeye Alisogea Maeneo Hayo |
|
Mwanamitindo Doutzen Naye Hakuwa Nyuma |
|
Jessica Chastain |
|
Mwigizaji Anna Kendrick Katika Muonekano Bora Kabisa |
|
Naomi Watts |
|
Mwigizaji Blake Lively |
|
The Best Cheryl Fernandez |
|
LI Bing |
|
Mwanamitindo Bella Hadid |
About
TNZ: Entertainment News
0 comments:
Post a Comment