1. George Clooney
2. Ice Cube
Mwaka 1998 Akiwa Na Miaka 28 Na Miaka 18 Baadaye Bado He Still Rock Sura Ikibaki Ile Ile Labda Tofauti Ni Unyoaji Wa Ndevu Tu. Staa Huyo Wa Barbar Shop Ameendelea Kuongezeka Umri Lakini Muonekano Ukabaki Kijana.
3. Dr Dre
Ukiambiwa Kuwa Dr Dre Wa 2016 Ana Miaka 51 Kwa Haraka Lazima Uombe Uthibitisho, Hapo Kati Ya Dre Hawa Wawili Kuna Tofauti Ya Miaka 20, Jamaa Yangu Mmoja Anapenda Kumuita Dre As Money Looking Wewe Unasemaje?
4. Drew Barrymore
Kuna Mtandao Mmoja Umeandikwa Kuwa Drew Looks Like She Never Been Kissed By Age. Na Ukiangalia Hata Picha Inaongea Huwezi Amini Kama Picha Hizi Zimetofautiana Miaka 23. Moja Akiwa Na Miaka 18 (1993) na Nyingine Ni Akiwa Na Miaka 41 (2016)
5. Jennifer Aniston
Umri Umezidi Kuwa Rafiki Sana Na Jennifer Anston, Hakuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Jennifer wa Miaka 23 (1992) Na Yule Wa Miaka 47 (2016). Una Lolote La Kuzungumza Hapa.
Kwa Leo Hebu Tuishie Hapa. Usisahau Kutupia Maoni Yako Hapo Chini Hebu Twambie We Unafikiri Ni Staa Gani Bado Anaurafiki Mzuri Na Umri.
\
0 comments:
Post a Comment