Hofu Ya Bomu Katika Uwanja Wa Old Trafford Imeisogezwa Mechi Manchester United na Bournemouth
Ilibidi Kuonda Mashabiki Wote Ili Kuweza Kuchunguza Hasa Kama Ni Kweli Lilikuwa Bomu. Baada ya Taharuki Hiyo Chama Cha Mpira Wa Miguu Nchini Humo Kikatangaza Kuharisha Mechi Kwa Sababu Za Kiusalama.
Baadaye Jana Ilitangazwa Kuwa Mechi Hiyo Itachezwa Kesho Jumanne tarehe 17/5.2016 katika Majira Ya Saa Nne Kwa Saa Za Afrika Mashariki

0 comments:
Post a Comment