Series

Korean Drama: I Hear Your Voice (Download Hapa)


Baada Ya kushuhudia Baba Yake Akiuliwa Na Kisha Muuwaji Kutengeneza Kifo Kionekane Kama Ni Ajali Ya Kawaida Ya Gari, Kijana Park Soo Ha Mwenye Uwezo Wa Kusoma Mawazo Ya Watu, Anajaribu Kuishawishi Mahakama Lakini Anakosa Anashindwa Kutoa Ushahidi Kuhusu Kifo Hicho.

Akiwa Hajui Afanye Nini Anatokea Binti Jang Hye Sung Ambaye Alishuhudia Tukio Hilo Lakini Muuwaji Alimpiga Mkwara Kuwa Kama Atajifanya Kutoa Ushahidi Basi Ajiandae Kufa Na Yeye. 
Binti Anapiga Moyo Konde Anatoa Ushahidi Na Muuwaji Anamuahidi Akitoka Jela Basi Atakuja Kutimiza Ahadi Ya Kumuua. Wakati Huo Huo Kijana Park Soo Ha anaweka Dhamira Ya Kumlinda Dada Huyo Licha Ya Umri Mdogo Aliokuwa Nao.


Miaka Kumi Baadaye Kijana Anakumbuka Dhamira Yake Ya kumlinda Hye Sung Na Anaamua Kuanza Kazi Ya Kumlinda. Wakati Huyo Huyo Binti Hye Sung Anapata Taarifa Kuwa Anatafutwa Na Yule Muuwaji Na Kuna Meseji Alizokuwa Anatumiwa Ila Alikuwa Hajui Zinatoka Wapi. Anajaribu Kuunganisha Matukio Anapata Conclusion Kuwa Inawezekana Kijana Park Soo Ha Anafanya Kazi Na Muuwaji Yule, Hivyo Anaamua Kumfukuza Na Kumpiga Marufuku Kuongea Naye.



Kudownload Series Hii Ya Kikorea Bonyeza Hapa

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.