Bifu Kati Ya Lil Wayne Na Birdman Limezidi Kuingia Katika Sura Mpya Hasa Baada Ya Lil Wayne Kumtukana Birdam Jukwaani.
Kwa Kipindi Cha Muda Mrefu Kumekuwa Na Kutoelewana Kati Ya Washkaji Hao Waliowahi Kuwa Marafiki Wa Kutupwa Wakati Wakiwa Katika Lebo Ya Cash Money.
Lil Wayne Alifikia Kumwaga Matusi Hayo Kwa Kile Anachodai Kuwa Birdman Anafanya Kila Awezalo Ili Kumshusha Weezy.
Kwa Hasira Weezy Alisikika Akisema "“I’m going through a lot of bullshit right now," Weezy Aliongeza Kwa Kusema. "These n*ggas got me in bars right now, they don't want to see me make good music. I don’t know what the fuck's going on, but fuck them n*ggas.”
Kwa Mtindo Wa Kuwaimbisha Mashabiki Wayne Akasema “Say fuck the bullshit, Say fuck the world. Say fuck the Birdman and fuck Cash Money.” Alisikika Akisema Huku Mashabiki Wakimfatisha.
Weezy Hakuwaacha Hivi Hivi Mashabiki Wake Akaamua Kuwapa Ukweli Kuwa Wakae Mkao Wa Kula Kwani Kuna Album Zake Mbili Zinakuja "I want y'all to know I've got two new albums coming y'all way"
Tazama Video Ya Alichokiongea Weezy Katika Show Hiyo Iliyofanyika Huko Phoenix

0 comments:
Post a Comment