Celebrity

Tyga Atuonesha Kimwana Mwingine


Baada Ya Kuonekana Na Mrembo Demi Rose Dunia Ikajua Kuwa Tyga Kaopoa Kimwana Mpya Hasa Baada Ya Mahusiano Yake Na Kylie Kuvunjika.

Wakati Bado Hatusahau Ile Mitoko Na Shopping Za Tyga Akiwa Na Demi Rose, Leo Hii Kajia Kivingine Na Katuonesha Demu Mwingine Ambaye Ametanua Naye Huko Jamaica

The King Gold Chaine Amepost Katika Mtandao Wa Instagram Na Kuweka Caption Iliyosema 1 of 1
Baada Ya Picha Hiyo Mashabiki Wakaanza Kujiuliza Kama Huyo Ndiye Mrithi Wa Kylie Na Wapo Wengine Waliohoji Kuhusu Demi Rose.

Mrembo Huyo Anafahamika Kwa Jina La Amina Blue Na Ni Mwanamitindo Huko Marekani

Tazama Tyga Alichokipost Instagram PiA CHEKI VIDEO CHINI

A photo posted by Tyga / T-Raww (@kinggoldchains) on


Angalia Video Aliyoipost Tyga Katika Mtandao Wa Snapchat

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.