Celebrity

Ndoa Ya Rob Na Black Chyna Kurushwa Live


Kama Ilivyokawaida Kwa The Kardashian Kunusa Mkwanja Ulipo, Sasa Tayari Wamenusa Kuwa Kama Ndoa Ya Rob Na BC Ikionyeshwa Live Basi Watavuta Mkwanja Mrefu Sana.


Ikumbukwe Kuwa Rob Na Chyna Tayari Wameshasini Dili La Kipindi Kitakachokuwa Kinarusha Kuhusu Maendeleo Ya Mimba Ya Blac Chyna. Katika Mkataba Huo Ndoa Haijawekwa.

Hivyo Rob Na Blac Chyna Wanafikira Kurusha Ndoa Yao Katika TV Station Za Marekani. Japo Bado Hilo Halijafikiwa Muafaka Ila Rob Na Chyna Wanataka Mkataba Watakaosini Uwe Ni Wa Mkwanja Mrefu Yaani Sifuri Zikiwa Chache Basi Ziwe Sifuri Saba.

Ili Kuhakikisha Hilo Linafanikiwa Wanafikiria Kumpa Dili Hilo Kris Jenner Ashughulikie Kila Kitu Kuhusu Ndoa Hiyo. Jamii Inaamini Kuwa Dili Lolote Litakalopita Mikononi Mwa Kris Jenner Basi Ni Lazima Liwe Super Deal, Ni Lazima Lirudishe Mkwanja Mrefu.

Yetu Macho Acha Tusubiri Mambo Yatakavyokuwa Katika Ukurasa Huu Tutakujulisha Kila Kitu.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.