Inaonekana Wazi Kuwa Amber Rose Anadonge Rohoni Kuhusu Familia Ya Kardashian. Hayo Yameonekana Baada Ya Amber Rose Kurusha Dongo Kwa Familia Hiyo Pale Alipokuwa Anahojiwa Na New York Daily News.
Ikumbukwe Kuwa Rose Alishawahi Kuwasemea Mbovu Uhusiano Wa Tyga Na Kylie Na Alipouliza Alijisikiaje Kuwasemea Mbovu Tyga Na Kylie Alijibu Kuwa Hajali. Alisema Kuwa Dance NA Muda Muda Mwingi Kuwa Na Watu Wazima Kumemepa Nafasi Ya Kuona Umuhimu Wa Kuzungumzia Mada Hizo.
Amber Rose Hakuishia Hapo Aliongeza Kwa Kusema "Lakini Acha Tuseme Ukweli, Sababu Kubwa Iliyowafanya Mabinti Hao Kuwa Juu Ni Kwa Kuwa Dada Ya Mkubwa Alifanya Mambo Mazito Kwenye Ile Video.
Alipoulizwa Kisa Cha Kumshambulia Kanye West Wakati Ule Rose Alisema "Nakutana Na Mambo Hayo Karibu Kila Siku, "Niliamua Kumpa Vipande Vyake Pale (Kanye West) Alipotangaza Kuwa Ilimlazimu Kuoga Zaidi Ya Mara 30 Baada Ya Kuwa Na Mimi. Kwa Kweli Sikupenda, Tulikuwa Na Furaha Sana Wakati Tuko Pamoja Lakini Sasa Kwa Sababu Tumeachana Ndiyo Aaanze Kunidhalilisha... Haikuwa Sawa Kabisa"
Ifahamike Kuwa Amber Rose Anakuja Na TV Talk Show Ya Kwake Mwenyewe Ambayo Itakuwa Inaitwa Amber Rose VH1 Talk Show. Je Madongo Hayo Ni Maandalizi Ya Show Hiyo??? Kama Ndiyo Basi Hii Show Siyo Ya Kukosa.
Wewe Unasemaje. Maoni Hapo Chini Ni Muhimu Sana
Mwenyewe Amber Rose Akanusha Kuwa Habari Hizi Si Za Kweli Katika Tweet Hii Hapa


0 comments:
Post a Comment