Movies

MOVIES: ZILE MPYA AMBAZO HUTAKIWI KUZIKOSA

Unapenda Movies, Basi Gonga Hapa Kila Ijumaa Tutakuwa Tunakuwekea Movie Kali Mpya Ambazo Hutakiwi Kuzikosa.


Leo Tuko Na Movie Kali Zinazotoka Leo Na Siku Chache Zijazo. Tuko Na Money Monster, Bastille Day, Neighbors 2,  X-Men Apocalypse.

Money Monster
Ndani Yupo Mtu Mzima George Clooney Na Mwanamama Julia Robert.  Huwa Hawakosei Hawa Soon Itaanza Kuoneshwa Fanya Kutafuta Theater Iliyokaribu Na Wewe Basi Ufaidi Uhondo Uliyomo Humu Huku Ukitafuna Popcorn Zako Taratiib. Tumekuwekea Trailer Ya Movie Hii Hapa Chini.



X-Men Apocalypse.
Wale Wapenzi Wa 3D na 2D Kazi Kwenu Mzigo Umetoka Na Yenyewe Ipo Kwa Theater Zetu, Hujaiona Fanya Mpango Huo.


Bastille Day
Idris Alba Ndani, Kama Unafikiri Beast Of No Nation Ni Movie Kali Kwa Idris Alba Basi Hebu Fanya Kuicheki Hii Kwanza Kisha Urudi Hapa Kuniambia. Kuanzia Leo Itaanza Kuonesha Kwenye Theater Zetu, Fanya Isikupite



Neighbors 2
Unapenda Kufurahi, Hii Ndiyo Movies Ya Kuangalia Sasa, Yaani Unafurahi Balaa Lakini Kumbuka Usiende Peke Yako Tafuta Na Mtu atayekushikia Mbavu Zako, Ukitaka Kutafuna Na Popcorn Angalia Zisije Kukupalia. Hebu Onja Kidogo Trailer

Usisahau Maoni Yako Ni Muhimu Sana Kwetu.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.