Crystal Palace Walikuwa Wa Kwanza Kuliona Lango La Man UTD Baada ya Kazi Nzuri Ya J Puncheon Aliyeingia Badala ya Ward Kufunga Goli Zuri Dakika ya 78. Dakika Tatu Baadaye J.Mata Aliisawazishia Man UTD Goli baada ya Kazi Nzuri Iliyofanywa Na Nahodha wa Man UTD, W Rooney.
Dakika 90 Zilimalizika Huku Timu Hizo Zikiwa Zimefungana Goli Moja Kwa Moja Na Kulazimisha Kuongezwa Kwa Dakika 30. Katika Dakika Ya 105 Beki Kisiki Wa Man UTD alipata Kadi ya Pili ya Njano Katika Mchezo Huo, Na Kusababisha Kupatiwa Kadi Nyekundu Baada Ya Kumchezea Vibaya Mshambuliaji Wa C. Palace, Bolasie
Dakika Ya 110 Kinda Wa Man Utd J. Lingard Alipiga Shuti Zuri Liliomshinda Kipa Wa C. Palace Na Kufanya Matokeo Kusomeka C Palace 1 - 2 Man UTD, Matokeo yalibaki Hivyo Hivyo Mpaka Mpira Unaisha na Kufanya Man UTD Kutawaa Ubingwa Huo Wa Kombe La FA.
Kama Hukufanikiwa Kuona Mechi Hiyo Hebu Bofya Hapa Chini Kuiangalia
Kombe Lilivyokabidhiwa
0 comments:
Post a Comment