Jana Ilikuwa Ni Siku Fainali Kwa Nchi Nyingi Za Ulaya. Baada ya Kuhshuhudia Man UTD ikichukua Ubingwa Wa Kombe La FA, Huko Ujerumani Mchezo kati ya B.Munich na Dortmund Ulisubiri Hadi Hatua ya Matuta Ili Kutoa Mshindi na Bingwa Wa Kombe Hilo, Kwani Timu Hizo Zilitoka Sare Ya Bila Kufungana Kwa Dakika 120.
Kama Hujauona Mchezo Huo Basi Tumekuwekea Hapa
Huko Ufaransa PSG Wameendelea Kuonesha Kuwa Wao Ndiyo Wababe Wa Nchi Hiyo Baada Ya Kuibuka Na Ushindi Wa Bao 4-2 Dhidi ya Olympique de Marseille. Shujaa wa Mchezo Huo Akiwa Ni Zlatan Ibrahimovic Aliyefunga Magoli Mawili Na Kuaga Mashabiki Wa PSG Kwa Stahili Ya Aina Yake.
Video Ya Mchezo Huo Hii Hapa
Kombe Lilivyopokelewa
Kombe Lilivyopokelewa
Nchini Italy Nako Juventus Wameendeleza Ubabe Wao Baada ya Kuwatandika AC Milan Katika Fainali ya Coppa Italia. Goli la Juventus Limeweka Kimiani Na Alvaro Morata.
Video Ya Mechi Hiyo Hii Hapa
Kombe Lilivyopokelewa
0 comments:
Post a Comment