Celebrity

Hata Mfanye Nini Hamtakuja Kuiona My Sex Tape - Kylie Jenner


Baada Ya Account Yake Ya Twitter Kuwa Hacked Kwa Muda, Wadau Wanasema Kuwa Hata Sex Tape Ya Kylie na Tyga Iko Mbioni Kutoka.

Ilishawahi Kuripotiwa Kuwa Sehemu Ya Video Hiyo Ya Ngono Ya Kylie na Tyga Ilitoka Kwenye Mtandao Wa Tyga Na Kuondolewa Baada Ya Dakika 30.


Baada Ya Kundi Kubwa La Watu Katika Mitandao Ya Kijamii Kutaka Video Ya Ngono Ya Wawili Hao Ivujishwe, Kylie Hajakaa Kimya Na Ameamua Kuwatolea Uvivu Huko Huko Kwenye Mitandao Ya Kijamii.

Kylie Amewambia Mashabiki Hao Kuwa Wasahau Kuhusu Video Ya Ngono Na Tyga, Kwani Haitakuja Kuvuja, Wasitegemee Kuiona.

Tazama Alichosema Hapa.



Kama Hiyo Haitoshi Kylie Akaamua Kutupia Video Huko Snapchat. Tazama Video Hiyo Hapa Chini

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.